"UchunguziwaKifaa" "Uchunguzi wa kifaa" "Endelea" "Endelea" "Haipo" "Inaunganisha..." "Uthabiti wa vipengele" "Fanya majaribio mwenyewe na uangalie muda wa kudumu wa betri na uthabiti wa hifadhi" "Hali ya kutathmini" "Tumia kifaa kimoja kutathmini kingine" "Majaribio ya kujifanyia" "Jaribio la skrini" "Jaribio la kugusa" "Hali ya vipengele" "Hali ya hifadhi" "Hali ya betri" "Kifaa unachokiamini" "Tathmini kifaa kingine. Muunganisho wa Intaneti unahitajika." "Kifaa kilichotathminiwa" "Fanya majaribio ya uchunguzi ambayo yatathibitishwa na kifaa kingine." "Changanua sasa" "Changanua msimbo wa QR kwenye kifaa unachokiamini katika mstatili ulio hapa chini" "Baada ya kuchanganua msimbo wa QR, kifaa hiki kitaanzisha kiotomatiki mfululizo wa majaribio." "Chagua kifaa unachokiamini" "Au, chagua kifaa kwenye orodha iliyo hapa chini" "Imeshindwa kuunganisha, tafadhali jaribu tena." "Thibitisha ripoti unayotuma kwenye kifaa unachokiamini." "Tuma ripoti" "Inakamilisha ripoti..." "Hitilafu ya Bluetooth" "Hitilafu imetokea wakati wa kuwasiliana na kifaa unachokiamini. Tafadhali thibitisha kuwa Bluetooth imewashwa kisha ujaribu tena." "Inatuma ripoti kwenye kifaa unachokiamini..." "Mchakato wa kutathmini umekamilika" "Matokeo yataonekana kwenye kifaa unachokiamini" "Matokeo ya jaribio la skrini" "Nzuri" "Hakuna kasoro za wazi" "Ni mbaya" "Skrini ina kasoro" "Kufanya jaribio mwenyewe" "Jaribio lifuatalo linahitaji ukague na uthibitishe mwenyewe skrini ya kifaa chako. Je, una uhakika ungependa kuendelea?" "Acha" "Muda wa kudumu wa betri" "Tarehe ya kutengenezwa" "Tarehe ya matumizi ya kwanza" "Mara ambazo betri imejaa" "Namba ya ufuatiliaji" "Hali ya kipengele cha kifaa" "Halisi" "Imebadilishwa" "Kumbukumbu ya Vipengele" "%1$s ya uwezo halisi" "Hali ya muda wa kudumu wa betri haipatikani" "Baridi" "Imeharibika" "Nzuri" "Joto jingi mno" "Kiwango cha juu mno cha volti" "Uthabiti wa hifadhi" "Kiasi chote cha hifadhi" "%2$s %1$s" "Imesalia %1$s ya siku zote" "Tafadhali toa ruhusa zinazotakikana ili uendelee katika hali ya kutathmini." "Acha" "Jaribu tena" "Matokeo ya jaribio la kugusa" "Haya ni matokeo ya jaribio la kugusa. Unaweza kurudia jaribio hilo kwa kurudi nyuma." "Jaribio la kitambuzi cha kugusa limefaulu" "Jaribio la kitambuzi cha kugusa limefeli" "Imefaulu" "Imefeli" "Cheti kilichothibitishwa" "Kifaa kimefungwa" "Hali ya kukagua mfumo unapowaka" "Kiwango cha usalama" "Toleo la Keymaster" "Kiwango cha usalama cha Keymaster" "Toleo la Mfumo wa Uendeshaji" "Chapa" "Kifaa" "Bidhaa" "Namba Tambulishi" "IMEI" "IMEI ya pili" "MEID" "Mtengenezaji" "Muundo" "Kiwango cha rekebisho la usalama la mtoa huduma" "Kiwango cha rekebisho la usalama wakati wa kuwasha" "Ndiyo" "Hapana" "Hakijulikani" "Imeshindwa kuthibitisha" "KIMETHIBITISHWA" "HAKIJATHIBITISHWA" "Matokeo ya kutathmini" "Matokeo ya uthibitishaji" "IMEI" "IMEI ya pili" "Namba ya ufuatiliaji" "Programu ya kuwasha mfumo wa uendeshaji imefungwa" "Kuaminika kwa kifaa" "Hali ya skrini" "Hali ya kitambuzi cha kugusa" "Maelezo ya uthibitishaji" "Imeshindwa kuthibitisha" "Imeshindwa kubainisha kama kifaa kinaaminika" "Jaribu kuthibitisha upya" "Imeshindwa kuthibitisha, angalia muunganisho wako kisha ujaribu tena." "Hatua zinazofuata" "Tathmini kifaa kingine" "Rudi kwenye menyu kuu" "Imefungwa" "Haijafungwa" "Msimbo wa QR" "Endelea kwenye kifaa kinachotathminiwa" "Kamilisha kufanya majaribio kwenye kifaa unachokitathmini, kisha matokeo yataonekana hapa." "Hitilafu fulani imetokea wakati wa kuwasiliana na kifaa kilichotathminiwa. Tafadhali thibitisha kuwa Bluetooth imewashwa kisha ujaribu tena." "Changanua sasa" "Kwenye kifaa ambacho ungependa kukitathmini, nenda kwenye Mipangilio, Mfumo, Uchunguzi wa Kifaa, Hali ya kutathmini, kisha kifaa Kilichotathminiwa. Fuata vidokezo kwenye kifaa hicho." "Sasa utaonyeshwa mfululizo wa skrini. Chunguza kila skrini na ubaini kasoro. Baada ya kuridhika, gusa skrini iliyopo ili uende kwenye skrini inayofuata. Hatimaye, utaulizwa iwapo skrini hazina kasoro zozote." "Sasa utaonyeshwa mfululizo wa skrini. Chunguza kila skrini na ubaini kasoro. Gusa skrini iliyopo ili uende kwenye skrini inayofuata." "Tafadhali teua chaguo lililo hapa chini linalolingana vizuri zaidi na hali ya skrini." "Sasa utaona skrini nyekundu.\n \n Telezesha kidole chako kwenye skrini hadi skrini nzima iwe nyeupe. Ikiwa huwezi kubadilisha sehemu fulani ya skrini iwe nyeupe, gusa skrini kidogo ili kuashiria kuwa kitambuzi cha kugusa hakifanyi kazi inavyostahili.\n \n"